teac kapex
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 470
- 137
Wana JF naomba kusaidiwa gari yangu ni noah, ile geji ya speed haifanyi kazi baada ya kubadilisha difu hali hiyo ikaanza, na gari haibadilishi gia no 5 inaishia gia nne tu, lkn juzi ile geji ilisoma na gia zikaanza kubadilika vizuri hadi tano sasa imegoma tena haisomi na gia zinaishia nne tu , naomba msaada wenu.