Kuna hizi search-engines katika pita pita nimekutana nazo
=>[EML-search]
na
=>[WOW-seach]
Mwenye ya kuongezea usisite kuimwaga hapa. Muwe na siku njema.
umesahau tinnyURL . Reverse image search engine. ni search engine inayotumia image/picha kusearch internet
yahoo bing google na ulizozitaja ni za ulimwengu wa magharibi na ulizozitaja pia ndio huko huko, dunia ni pana sana kaka. alternative za google na bing ni yandex na baidu.
yandex- ni ya urusi ni nzuri kutaftia data za ulaya mashariki
baidu - ni ya china ni nzuri kutaftia data za asia ya china
umesahau tinnyURL . Reverse image search engine. ni search engine inayotumia image/picha kusearch internet
Wanatumia database hizo hizo za kina google
lakini ni idea nzuri. pamoja na kwamba kama umeweka image isiyokuwa na details huwa haipati kitu.
shukrani, ila ungeweka kama link ingekua poa zaidi
Chief hii staili ya kuifanya link kuwa clickable huwa inanishinda unaifanyaje??????
Chief hii staili ya kuifanya link kuwa clickable huwa inanishinda unaifanyaje??????
Natumia PC dell Laptop ila hiko kialama sijakiona ??????????Tumia tag za url
[url]link yako [/url]
Mfano
[url=http://www.google.com]Google[/url]
Njia hii ni kama unatumia simu, kama unatumia pc angalia juu kwenye box unaloandikia kuna kialama cha link
Natumia PC dell Laptop ila hiko kialama sijakiona ??????????
Kuna vialama vingi tu na vingi sijawahi kuvigusa , hata hivo nashukuru mkuu kwa kunifumbua macho itabidi niisumbue akili yangu hadi nakijua.Hakuna kialama kama mnyororo? Ngoja wenye pc watakuja kukuonyesha
hakuna kialama kama mnyororo? Ngoja wenye pc watakuja kukuonyesha
umesahau tinnyURL . Reverse image search engine. ni search engine inayotumia image/picha kusearch internet