Wakuu,kuna suala linanitatiza japo mimi si mwenyeji sana hapa jf.
Hivi inawezekana kweli kupata chaneli za king'amuzi fulani kwenye king'amuzi kingine cha aina tofauti?
Mfano:- je naweza...
Ndugu wanajamvi,
Nimeona ninene la kwangu kuhusiana na kampuni ya Simu TECNO.
Nimekuwa mtumiaji wa simu za Tecno kwa muda mrefu na hasa kwa hizi Smartphones tangu N3, P3 ........!
Lakini katika...
Kama wewe ni mtumiaji wa facebook, na una Urafiki na huyu anayejiita Mdee ,
https://www.facebook.com/halima.mdee.395?fref=nf
basi huyu ni mtapeli na sio mhusika wa jina hilo.
wanatumia link...
Wakuu nahitaji wino nijaze kwenye printer yangu ni HP laserjetP1102
Au kama kuna mtu anajua wapi naweza kupata hii huduma tuwasiliane wakuu.
Shukrani za dhati kwenu
Nipo DSM
¤.Kwanza kabisa log in katika acount ya facbook Wakati uko ndani ingia katika Account Setting kisha badilisha lugha kuwa Bahasa Indonesia.
¤.Njia Ya kuwafanya facebook wakuamini kuwa unatokea...
Mambo vipi wataalam.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,tafadhali niorodhesheeni steps zinazoeleweka za kuongeza speed ya kudownload iwe kubwa
ya kuridhisha kwenye computer.
Angalau...
Tukiwa tunakaribia mwisho wa mwaka na manunuzi ya simu yanazidi kuongezeka makampuni mbalimbali yameanza kutangaza list ya simu zao zitakazopata hii update ya pipi ya kijiti. Nimeamua kuweka list...
Napenda kumiliki website ambayo watu watakuwa wanatafuta marafiki,wachumba na kazi!! Sasa sijajua cms gani nzuri ambayo itafaa kwa kazi hiyo!! Kwamba mtu aweze kujaza data zake mfano jina...
Android L inakuja na antitheft protection ambayo inakulazimu kuingoza Account/Password ya google iliyokuwa ikitumika kwenye simu hata ukifanya reset ya simu. So inabidi uifanye reset mbele ya...
https://www.getkisha.com/?gclid=CLi4tr2InsYCFePItAodd2wAiw
Mwamvuli una bluetooth unaunga naa simu, ukiusahau sehemu simu inapiga alarm ili uukumbuke! Watu wanadata na technology.
Hapa nyumbani ninatumia dish jeusi la futi 8 lenye lnb ya c band pia nina receiver ya media.com 910 MFT NEW ningependa mnielekeze jinsi ya kukamata channel nyingi.
Natumia simu SAMSUNG CHAT GT-E2222 (DUOS)
tatizo kila app ninayodownload inakataa ku install japo nikidownload music na video zinakubali..
tatizo imegoma ku install opera min hata nikidownload...
Wakuu,
naomba mwenye uelewa wa mahali ninapoweza kupata hizi tutorial anisaidie. Ninahitaji kutengeneza booklet nimekwama katika kipengele hicho tu. Numbering iliyo kwenye mpangilio kuanzi...
Habari wadau.
Juzi kati nimepata simu ya Samsung E2222 au Samsung ch@t222 au Samsung ch@t222 GT-E2222 lakini kinachoniboa kila nikizama youtube kitu kinagoma au kinaniambia "Sorry,the file is...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.