Hello JF Tech.... Poleni n Pirika Za Uchaguzi
Siku chach kabla ya Uchaguzi Nilikuwa Dillema Katika Kwenda Kununua Power Bank Na Wasiwasi Mkubw ni Kuwa Power Bank Nyingi Ni Fake..
Sasa Juzi...
Shalom wakuu wa eneo hili. Nilikuwa naandika taarifa fulani muhimu kwenye laptop yangu niliyotaja hapo juu. Umeme ukakatika na uliporudi saa 1 baadae windows 7 premium ikakataa kufanya kazi na...
Nilikua natumia netquin kwa nokia yangu s60 nikaidowload na mambo yalikua poa tatizo ni android nayotumia sasa hivi nahisi hizi ant virus sio za kweli maana kila nikiscan infected memory card...
Habari wakuu, nina laptop (HP Pavilion dv1000) ya ndugu yangu alifanyiwa installation ya windows7 na fundi.
Note: available drivers are only for windows 2000 na windows xp.
Fundi aka install ile...
Nimetembelea kaymu nimekutana na hizi simu hapa na nimependa kununua mojawapo kati ya hizo,but sizifaham ubora wake..je kuna ushauri wowote katika hili hasa hiyo sumsung s6 clone inayouzwa laki 2...
Heshima kwenu GTs.
Nahitaji motherboard ya Dell Optiplex Desktop DCCY(Small Form Factor) au desktop System Unit
au
Dell GX520 motheboad.
Mwenye nayo tuwasiliane
Wakuu msaada wenu unatakiwa hapa, Website ya Google hapa kwangu haitoi majibu, tatizo linaweza kuwa nini? Computer ina anti -virus ambayo ipo up to date, pia website zingine zote zinafunguka...
its vry simple..it doesnt require PC..jus download #root checker basic and #360root and u r done,,,if u stuck anywhere check me via 255 656 673 699...,enjoy
Wakuu Salamu sana na poleni na majukumu ..
Niko. Moshi haijalishi uko wapi kama una laptop haijalishi dell ; HP au Toshiba uko willing kwa hio hela nicheki 0763705011 tufanye biashara...
Wana jamvi natumaini mtakuwa wazma wa afya.naomba kujuzwa kama kuna uwezekano wa ku flash simu aina ya tecno p5 plus.nakama kuna anaye fahamu sehemu ambayo naweza kupata huduma hiyo anijuze. Asanteni.
Mtaalamu wa kutumia Linux computer Operating system anahitajika.Awe anaujuzi wa Unix family hasa Linux zaidi.Pia awe vizuri katika useful tools za Linux. Apply kupitia aldasoah@gmail.com. Vigezo...
Hey people niaje pande hiz i'm coming ki hivyo yani,
Nimekuwa natumia mda mrefu ps 2 games ila kutokana na tecknologia inavyokuwa nimekuja kufaham kuwa kuna matumizi ya usb flash kuhifadh games...
Habari wana jamvi, ninatumia smartphone yenye android v 4.4.2
Niliwahi kusikia kuhusu droid na troid. Ila hiyo ilikua 2013. Je cureently 2015 ninaweza kipata free internet bila shida.
Naombeni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.