Msaada: Jinsi ya kuondoa partition katika hard disc

Msaada: Jinsi ya kuondoa partition katika hard disc

P. Majaribu

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2014
Posts
1,192
Reaction score
625
Wadau ninaomba msaada ni jinsi gani ya kuondoa partition katika hard disc yangu iliyogawanyika kama ifuatavyo.
Local disc C ina 223GB,Local disc D ina 9.99GB,Local disc F ina 205GB ,Local disc G ina 24.9GB nataka niondoe partition hizi za Local disc D na G zirudi kwenye Local disc C au G.Naomba sana msaada wenu wadau.

CC. Chief-Mkwawa
 
Last edited by a moderator:
Kuziunganisha partition za hdd ili ziungane inabidi ziwe jirani.
Mfano kipindi unafanya partition 1, 2, 3, na 4 ukitaka kuunganisha hizo partition zitakazoungana ni 1 na 2, 2 na 3, 3 na 4 lakni sio 1 na 3, au 2 na 4 isipokuwa unaweza ukazifuta zote ikabaki moja pekee.

Kuna njia ya kutumia program na kuziunganisha
au kuziunga wakati wa kuweka windows.
 
Wadau ninaomba msaada ni jinsi gani ya kuondoa partition katika hard disc yangu iliyogawanyika kama ifuatavyo.
Local disc C ina 223GB,Local disc D ina 9.99GB,Local disc F ina 205GB ,Local disc G ina 24.9GB nataka niondoe partition hizi za Local disc D na G zirudi kwenye Local disc C au G.Naomba sana msaada wenu wadau.

CC. Chief-Mkwawa

Tumia Aomei partition assistant utafanya ku risize hizo partition zako...

ingia onhax.net kisha search aomei partition assistant then download kisha weka na keys zake uanze kazi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom