Wazo zuri.
1. Tengeneza namna ambapo muuzaji na mnunuzi wanaweza 'kutafutana'
2. Badala ya kutegenemea ads pekee kama source ya revenue, weka 'premium' features ambazo zitalipiwa
3. Kiswahili inawezekana kabisa, waingereza hawanunui chochote K'koo
Nice advice I acceptedSio mbaya, digitizing every little piece of information is a good thing coz hii ni information ndogo ambayo watu muda mwingine hupenda kuwa nayo wanakosa pa kuipata kirahisi, sema I don't see anyway you could monetize this. At most ikipata visitors hawatozidi 10 kwa siku, labda ufikirie more features ambazo zita-engage watu, a buy and sell market would be great japo its something big ambacho kitakucost even more time to make.