Wissman
JF-Expert Member
- Dec 12, 2014
- 1,034
- 1,319
Wengi tumekuwa tukipata matatizo mbalimbali katika vifaa vyetu vya mawasiliano yanayopelekea kushindwa kuweza kuvitumia. Lakini kwa msaada wa kitaalamu na ushauri kutoka kwa wadau ni rahisi kusolve bila hata ya kuingia gharama. Pata ushauri jinsi ya ku-unlock, flash, restore, pattern issies, perfomance na mengine mengi yanayokusumbua katika simu yako ya android.