Files na ashampoo

Files na ashampoo

iron woman

Senior Member
Joined
Apr 22, 2013
Posts
147
Reaction score
19
habari zenu
wadau naomba mnisaidie kujua ni program gani niitumie ili kuconvert flv,mp4 files kwenda avi na hizo kwenda vob.bup files
 
habari zenu
wadau naomba mnisaidie kujua ni program gani niitumie ili kuconvert flv,mp4 files kwenda avi na hizo kwenda vob.bup files

ytd yani youtube download iko ns hiyo option ya kuconvert
 
Try to compile the files and burn as "DVD Video" --- the output will give you file.vob; bup file is an incomplete file! - a vob compliment:A S-cry:!!
 
Tumia program inaitwa format factory hio ndio mwisho wa maneno...
 
inazima kwa sababu unaiacha muda mrefu au inazima ukiwa hata unatumia?

hapana siyo kwamba ina sleep yaani nikishaselect movie ya kuconvert nafanya process zote ikianza kuconvert ikifika kwenye asilimia 27 PC inazima kabisa na nikiiwasha inaanza mwanzo kabisa na ile movie inakuwa kipande vilevile
 
thanks mkuu
binafsi nimeitumia hapo nyuma ila kwa sasa nimejaribu kuidownload na kuinstall kwenye windows 8 32bit imekataa.
Sijajua nini tatizo na nimetumia the same app with same specs za hiyo window

jaribu kurun kwenye compability mode chagua windows ya nyuma uliotumia (windows7 au xp)
 
hapana siyo kwamba ina sleep yaani nikishaselect movie ya kuconvert nafanya process zote ikianza kuconvert ikifika kwenye asilimia 27 PC inazima kabisa na nikiiwasha inaanza mwanzo kabisa na ile movie inakuwa kipande vilevile

hapo sifahamu tatizo ni nini, unaweza jaribu alternative nyengine walizokupa wadau
 
Tafuta hio format factory hutojuta inaformat kila kitu.....kuanzia audio,picha mpaka video....from CD/ DVD to media files.
 
Tazama hata interface yake ilivotulia...
Pia ina option ya kukata kipande utakacho
 
Attachments

  • 1444672092347.jpg
    1444672092347.jpg
    55.7 KB · Views: 81
  • 1444672107406.jpg
    1444672107406.jpg
    32.4 KB · Views: 85
  • 1444672119006.jpg
    1444672119006.jpg
    30.5 KB · Views: 78
  • 1444672131049.jpg
    1444672131049.jpg
    26.5 KB · Views: 74
Back
Top Bottom