Wadau habari zenu ...nataka kujifunza graphics asa tatizo sina adobe ....naomba msaada kwa anaejua eneo wanapouza kwa ku burn anisaidie ....please its urgent ...ntashkuru ikiwa leo
Wadau, habari zenu.
Naomba msaada kwa mwenye utaalamu.
Nilimwomba rafiki yangu salio (airtime). Kwa upendo wake ili nisipate shida
ya airtime akanitumia kiasi cha fedha ambacho kwangu nakiona...
wADAU,, laptop yangu haipati internet kwenye wifi ingawaje kila kitu kinaonekana connected,,nikifungua browser ina kataa kufunguka..je tatizo linaweza kuwa nini.lakini network inaonekana ina...
juzi imenyesha mvua kubwa mpaka maji kuingia ndani kwa kiwango kikubwa sasa maji yakajaa kiwango cha kufunika compressor ya fridge ka robo tatu yake sijaiwasha bado ila nilifungua nyaya za...
natumia hp ila juzi nimepiga waindow 8.1 ila baada ya kupiga tyuu window nkiiwasha hainiletei boot menu msaad wadau ila kuwaka inawaka fresh na naitumia bila ttzo ila ndo hapo haina boot
Habar za kazi wadau, Hivi haya makampuni ya simu za mikononi yanaweza kutoa taarifa kwa mteja akiitaji kujua taarifa ya account yake ya pesa kama wanavyofanyiwa wenye account kwenye mabenki?
Naomba msaaada wenu kila nikiangalia salio hainionyeshi inaniandikia (connection problem or invalid MMI code)
So anaejua tatizo naomba anielekeze namna ya kufanya, nimecheki kwenye Network...
Heshima kwenu wakuu. Nafika hapa jamvini kuomba magwiji wa Gadgetry mnisaidie kupata suluhisho la tatizo kwenye laptop yangu. Ni HP 250 G3 NOTEBOOK. Niliipata ikiwa brand new na ninayo mwezi wa...
Wakuu nauliza namna ya kuchonga special number kupitia hawa halotelk je ni mpaka freelancer au naeza chonga mwenyewe then nkaisajili kama ilivo kuwa tigo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.