Sasa umeshindwa kusubiri kwa 60 minutes?passcode zimebadilishwa hivyo nikiingiza zangu inakataa inaniambia ni wait after 60 minutes baada ya kuona hivyo nimeacha ili nisiiblock mazima
Wakuu
Msaada jinsi ya kurecover passcode zangu kuna mtu kabadilisha nilizokuwa nimeweka sijajua dhumuni lake kufanya hivyo hii inakuja baada ya kuwasha simu
nitashukuru sana nikipewa ufumbuzi
![]()
N.B simu yangu haina I CLOUD
![]()
Thanks
c.c Chief-Mkwawa
You have only one option remaining, either you restore it with previous backup
Wakuu
Msaada jinsi ya kurecover passcode zangu kuna mtu kabadilisha nilizokuwa nimeweka sijajua dhumuni lake kufanya hivyo hii inakuja baada ya kuwasha simu
nitashukuru sana nikipewa ufumbuzi
![]()
N.B simu yangu haina I CLOUD
![]()
Thanks
c.c Chief-Mkwawa
Kama haina icloud tumia kompyuta kuiupdate afu ujaze upya hizo passcode zako..
hiyo njia sijaitumia kugundua kuwa haina icloud nimeitumia kuonyesha kuwa haina na mimi ndiye ninayejua kuwa hainaLabda kama unamaanisha ku *restore* maana ku 'update' simu hakubadilishi settings zako hivyo bado itakudai password hii mpya na hautakuwa umefanya kitu bado
nilikuwa situmii application yeyote kivipi simu nilkuwa naitumia kama kawaida na i cloud sikuisajili coz card yangu ya benki iligoma kuingia nikawaza labda mpaka nikaiactivate ili iweze tumika online
ntakuwa nimekujibu