Hi wadau,
Kuna kazi iliyoko kwenye word nilichukua kwenye pc ya mtu ila kila nikitaka kuedit au kufuta mstari inagoma na kupigia mstari kazi ninayotaka delete. lakini pia niki'paste' inatokea kazi ni red. naomba msaada, nimeshindwa kuedit kazi hapa