Wakuu nawasalimien sana.Wakuu niko na hii smu niliyoitaja hapo juu kwa bahat mbaya sana imeshindwa kuperform functions zake just inajizma na ku-disply tu ile logo ya kampuni haiwez kuwa...
Wadau ninapo install hii browser ya dolphin katika Tecno H6 huwa inaifanya simu kugomagoma na wakati mwingine kuzima kabisa naombeni kufahamu tatizo ni nini!
Sorry guys, pc yangu nimeitumia fresh asubuh ikiwa na charge zaidi ya 80% na nikaizima ikiwa na charge yake. Ila kuiwasha sasa hivi inaniambia plugged in but not charging. Je Hilo ni tatizo La...
Java is a high-level programming language originally developed by Sun Microsystems and released in 1995. Java runs on a variety of platforms, such as Windows, Mac OS, and the various versions of...
This solution has worked on my device and i can watch flash html(example Azam flash page) on my android phone. Enable Flash Player in Android 4.4 KitKat - How to
Nimeikuta hii. Ktk pitapita za mtandaoni... nataka nijue nani ka mcopy mwinzie. Na kitendo kama hiki.... kunakuwa na tozo au faini? Manake huu ni uizi wa idea.
I am team android. But i like...
Wadau leo nlikuwa kwa wakala fulani huku Moshi (Marangu) nikajaribu kutumia line yake ya Halotel na kujaribu speed, matokeo yake yalikuwa safi sana kama attached screenshot inavyoonesha
msaada please nina printer yangu ya EPSON XP-405 ukiiwasha inaandika warning replace the following ink cartridge sasa naomba kujua zipapatikata wapi na bei zake na je naweza kureplace tu mwenyewe...
Wadau nikichukua video kwa simu yangu kwa dakika kumi tu, video hiyo itaonesha imechukua zaidi ya mb300 kwenye file.
Nahitaji app itakayoweza kugeuza hiyo video na kuifanya ichukue sehemu ndogo...
Wakuu, Nina Galaxy Note 3 ambayo ina matatizo matatu;
Unknown Baseband Version
Null IMEI, nimerestore IMEI lakini haikufanikiwa kurejea
Pia hii simu haikamati mtandao kabisa.
Nimeona nikilileta...
Kampuni ya kutengeneza simu na bidhaa za kielektroniki kutoka Marekani, Apple, imefichua kuwa hakuna anayeweza kudukua siri za wateja wa simu za IPhone.
Katika stakabathi rasmi zilizowasilishwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.