Windows 10 inahitaji Product Key

Windows 10 inahitaji Product Key

franco15

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2013
Posts
518
Reaction score
208
Leo nilidownload win 10 sasa on process of installation laptop ikazima, umeme ulivyorudi najaribu kuiinstall upya inanidai product key yani nimechanganyikiwa msaaada plz!!!!!
 
Kuna vimaneno vya kuskip kwa chini usipokuwa makini unaweza usivione.
 
Attachments

  • 1442507166005.jpg
    1442507166005.jpg
    49.5 KB · Views: 367
Kumbe una upgrade, activate hio windows kwanza.

Cheki chini ya laptop kama kuna keys kama hakuna tumia windows loader
 
Leo nilidownload win 10 sasa on process of installation laptop ikazima, umeme ulivyorudi najaribu kuiinstall upya inanidai product key yani nimechanganyikiwa msaaada plz!!!!!

download image tu then boot kwa flash
 
Tumia hizi
Vk7jg-nphtm-c97jm-9mpgt-3v66t
Nkjfk-gphp7-g8c3j-p6jxr-hqrjr
Win 10 product keys
 
Mi baada ya ku wema Window 10 kila ni kijaribu ku download Oracle Virtual Box napo jaribu ku install ina goma ina fika sehemu ina stack tatizo ni nini ?
 
Kama kuna mtu ana link niipate sql server conpatible au any update ya kuifanya sql server 2005 ifit kwny window ten
 
software ikikataa run kwenye compability mode chagua version ya nyuma kama ni win 7 au xp.
 
Mkuu nashukuru sana nimeweza kuactivate window kupitia windows loader na sasa nimeanza kudownload win10.... Vipi kuna possibility ya window kudetect na kurudi kuwa not genuine tena?

Yap inaweza, ila microsoft wanataka watu wote wawe windows 10 so sidhani kama watachukua hatua kali kubania watu
 
Yap inaweza, ila microsoft wanataka watu wote wawe windows 10 so sidhani kama watachukua hatua kali kubania watu

Nimegoogle wamesema pirates wataweza kuupgrade ila win10 yao itakuwa trial, nimeishiwa nguvu bro yani window yangu ilikuwa genuine ila baada ya laptop kuzima wakati wa upgrading nilivyowasha ndio ikawa not genuine, sasa hamna njia yoyote naweza recover product key yangu?
 
Hata hio windows 10 ina activator zake kama ulivyo activate win 7, nenda tena torrent search kmspico
 
naombeni msaada wa link ambayo nita download windows 10
 
Back
Top Bottom