Wakuu habari zenu
Kwa wadau wa compyuter security ama yeyote mwenye ufahamu
Kama kuna mtu ana ujuzi wa namna ambavyo publick key infrastructure(pki) inafanya kazi kwa mifano hai ya mazingira...
Habari wakuu, ninasimu tajwa hapo juu, tatizo betri yake kimeo ila naikubali sana nipo tabora, nimetafuta betri yake tabora nzima madukani sijaipata kama kuna mtu anafahamu maduka yawapi...
Tatizo :Simu ya nokia haisomi laini nilipeleka kwa fundi nikaambiwa tatizo housing na motherbord nikanunua bado ikawa haisomi nikapeleka kwa fundi mwngine akanambia shida ni IC sasa nahitaji...
Majuzi nimetembelewa na PiPiMatch.com nimependa sana kazi wanazofanya,kwani niwatengenezaji wa software na kuziuza kwa bei muruaaaa.Nimependa zaidi offer waliotoa kwa watu wanaotaka kumiliki...
Natafuta CCTV technician ambaye atakuwa tayari kufanya kazi mikoani.
Nina wateja kadhaa kwa ajili ya kuwafanyia kazi.
Tuwasiliane kupitia PM, then nitakupigia
Laptop nikiwasha hayo ndio majibu yake.
ni nini tatizo na ni nini ufumbuzi wake?
Realtek PCIe GBE Family Controller Series v2.59 (01/13/14)
PXE-E61: Media test failure, check cable
PXE-M0F...
Nina simu yangu Nokia ya tochi model 105 nikiweka laini za mtandao mingine hazitaki kusoma isipokuwa laini ya vodacom peke ndo inakubali, tatizo linaweza kuwa ni nini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.