Galaxy s2 imeanza kuinstall applications upya

Galaxy s2 imeanza kuinstall applications upya

Bill of Quantity

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
1,233
Reaction score
407
Habari za asubuhi wakuuu?

Jana nilipatwa na tatizo katika simu yangu tajwa, ilizima ghafla ikiwa na chaji 44% haikuwaka tena.
Nikaiwahisha kwa fundi mmoja hivi akaniambia betri ndio imeshindwa kufikisha moto, akakwangua system za moto baadae akarudisha betri na ikawaka.

Baada ya kuwaka ikaanza kuandika installing applications, toka jana jioni mpaka sasa hivi inafanya hivyo.

wakuu naomba kufahamu hatma ya hii simu, je, itarudi kwenye hali ya kawaida ?
 
kama kaiformat au kaiflash then ikiwaka Mara ya kwanza huwa Ina install system apps.

Unaweza kuingia recovery? Jaribu kuiformat tena wipe data na cache
 
Back
Top Bottom