Virus mpya time service na monkey test katika android

Virus mpya time service na monkey test katika android

mgt software

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
13,793
Reaction score
7,174
Wadau kuna virus wengi wameachiwa hivi karibuni , virus hawa uingia kupitia whatsapp, instgram, facebook, tabia zao uingia kwenye simu na kujificha kwenye application manage, utengeneza exe file kama vile adobe air na magame kibao uzuia simu kuingia, hunyomya betri, uzolotesha simu mpaka sm husema android has stoped, jimsi ya kuwatibu ni kupeleka kwa mtaalamu wa simu yupo posta jengo la empress cinema au piga simu no 0754291099 mpaka sasa hakuna antivirus iliyohakiliwa kuwatoa zaidi ya huyu dadq
 
Mods usiondoe huu uzi tunataka watu.wasaidiwe
 
Aisee walinisumbua sana hao virus nilifuta kila kitu kwenye simu
 
Tangazo la biadhara, ila info uliyoandika inashutukiza.
 
[h=1]How to Remove Monkey Test Time Service Virus Without Resetting Android[/h]
 
Mimi hao walinisumbua ila niliwadhibiti kwa app ya luckypatcher
 
Mimi hao walinisumbua ila niliwadhibiti kwa app ya Lucky patcher.
 
naona nimechelewa ila sina jibu tofauti na Mavella.

LUCKY PATCHER ndio suluhisho la hao wadudu,
una wa freez kisha hutawaona tena wakiwa active, coz huwa wanatokea ktk recent apps kule ukiminya home button, so ukiwa freez ume solve tatizo mazimaaaa. hiyo ndio tiba rahisi sana.

kumbuka, ili lucky patcher ifanye kazi vizuri nilazima uwe na busy box installer,kisha u install busybox.
 
Naomba maelekezo jinsi ya kuitumia hii lucky patcher, nimesha root sim na kuidownload lucky patcher.
 
Back
Top Bottom