simu yangu NOKIA XL haiingizi charge

simu yangu NOKIA XL haiingizi charge

Zooluline

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2012
Posts
206
Reaction score
102
Habari gani wadau????

msaada please, simu yangu tajwa ina tatizo, kila nikichomeka charger ambayo ni original inaonesha alama kuwa charge inaingia, lakini unaweza kuicha about the whole day ikaingiza aslimia mbili tuu,
tatizo hili lilianza baada ya kujaribu kuchajia power bank , then soon baada hapo ikaanza kuzingua kuingiza charge,
nikafikiri ni bettery , lakini nimebadili tatizo bado ni hilo hilo, msaada please........
 
umejaribu charger nyengine? last resort ni kubaduilisha usb/system charge
 
Tafuta cm nyingine master piece! hiyo ni copy al maarufu FAKE! Hiyo itakusumbua 4ever

Habari gani wadau????

msaada please, simu yangu tajwa ina tatizo, kila nikichomeka charger ambayo ni original inaonesha alama kuwa charge inaingia, lakini unaweza kuicha about the whole day ikaingiza aslimia mbili tuu,
tatizo hili lilianza baada ya kujaribu kuchajia power bank , then soon baada hapo ikaanza kuzingua kuingiza charge,
nikafikiri ni bettery , lakini nimebadili tatizo bado ni hilo hilo, msaada please........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom