Kuna anayejua jinsi ya kuPM ukiwa unatumia app ya JF kwenye iPhone? Msaada tafadhali.
Seriously ni wewe. Avatar yako imetulia. Kama unajua help tafadhali😊
Kama unatumia app ya simu fuata maelekezo hapa........
Kama hujaelewa uliza........
Nahamu sana na PM sijatumiwa nina miezi 3 sasa..........
hivi kumbe huja lock PM ? ngoja nimwahi huyu jamaa.
Asante sana Preta. Wewe ni mwalim mzuri. Nitakutafutia zawadi tamu hope utaipenda.