Wadau,
Naomba msaada jinsi ya kurecord incoming call kwenye simu yangu kuna raia ameamua kufungua mazoezi ya matusi najaribu kumuonyesha kuwa mlengwa sio mimi.
Lakini bado anayaporomosha tu...
Wakuu hodii tenah
>leo nimekuja na sswali tu hivi app ddeveloper wa-tz wanafaidikaje na oongezeko la smartphone nchini?
>je kweli tupo tayari wa tz kuona watu wa tz wanatumia apps zilizo...
Kwa muda wa wiki tatu sasa nimekuwa nikapata notifications za kufanya updates ya software za simu yangu tajwa hapo juu..
Pamoja na kuwa katika eneo ambalo internet ipo vizuri,kila nikifanya...
Wadau salaam,
Nimekuwa natafuta app ya android (police radar/detector) lakini kila ninayopata haina nchi zetu.
Kuna device nimewahi kuitumia kiitumia kipindi fulani ilikuwa kwenye gari ya...
Nimeona notifications kutoka microsoft wakieleza jinsi ya kuupdate windows phone 8.1 to windows 10 je kufanya hiyo kitu kunaweza kudamage kalumia kangu?
Maana official update inatoka mwez wa 11...
Natanguliza shukrani.
Nimekua nikitumia Geocoder API ya Google bila matatizo, lakini leo hii imeanza kununa na kugoma kunipa data. Kawaida kwa kutumia PHP function file_get_contents kwenye link...
Wasiwasi wangu unatokana na process ya kununua umeme wa LUKU.
Unaponunua umeme wa LUKU unafungua milango ya akaunti yako ya
M-pesa, Airtel Money, Tigo-pesa nk, kwa kuandika namba yako ya siri...
Wataalam wa umeme na wenye ufaham juu ya umeme kuna kitu kinaniumiza kichwa kidogo ningeomba mtegeu kitendawi hicho ndani ya kichwa changu.
Je haiwezekan nikatumia umeme kwa kuunganisha waya wa...
Unafungua JamiiForums na unaona imepigwa DDos hujui kinachofanyika.
Unapost kwenye group WhatsApp nako hujui inakuwaje mpaka watu wanaiona post yako.
Unarudi unapiga screenshot unapost instagram...
Samahani waungwana nimekuwa nikitumia smartphone za kampuni ya tecno .sasa nataka nihame kwenye aina nyingine ya sumu.
Napenda simu screen size iwe 5.5",iwe unachukua laini mbili,iwe na...
Nafikiria kununua Step-up transformer, kufunga nymbani kwangu kama ifuatavyo
Umeme wa Tanesco ukiingia kwenye meter,
baada ya hapo nafuga resister kutoka kwenye meter ili nipate umeme Mdogo...
samahani wakuu wa hili jukwaa.
nashindwa kudownload nyimbo na videos
kwenye whatsapp. kila ikianza
kudownload inazungusha kile kimduara
mpaka mwisho halafu hamna chochote
imedownload. tupeane...
habari wana jamvi, naombeni msaada wa kutoa hii error (retriving information from server) maana nashindwa kundownload application yoyote kwenye google play store, asanteni
Jamani Naombeni Msaada wenu wa Ushauri katika Kununua Subwoofer hii ya Aborder.. Nimeziona Hapa Town Wanaziuza Nyingi tu Katika Maduka...
Budget yangu ni 100k. Je Zina. ubora.. Asanteni