Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Kwa wale wataalamu wa hii kodi app ninataka kuziweka zile sports devil,money sports n.k katika mpangilio kama ilivyo phoenix unapoifungua naomba maelekezo
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada kwa anaejua km kuna huduma ya ads ambazo zinasupport blog yenye content za kiswahili naomba Aniambie au tuwasilieane PM
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habarini ndugu zangu, simu yangu tajwa hapo juu imekuwa na tabia ya kuji restart yenyewe na Mara nyingne inazimika..na ikijizima huwa haiwaki moja kwa moja, sasa sijajua itakuwa na tatizo gani...
0 Reactions
0 Replies
619 Views
Najaribu kuiweka kwenye antitheft setting, sioni pahala popote, yoyote anayejua tafathali
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu nina Laptop aina ya Acer betri yake haikai na charge hata kwa lisaa limoja natafuta wapi naweza nunua bwtri mpya kwa Mwanza Nitashukuru nikipatiwa na bei ...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wadau ninaomba kufahamu jinsi ya kufunga app ambazo sizitumii kwa muda huo bila kuziunstall.
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Habari wana JF, Jinsi ya kuedit ID yangu i mean kubadili jina au kama kuna Expert wa uzi huu anipe maujuzi au kunibadilishia kabisa ID yangu. Nawasilisha. Invisible msaada tafadhali
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Chemistry: Four elements added to periodic table 4 January 2016 From the section Science & Environment Image copyright AP Four chemical elements have been formally added to the periodic table...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Sorry wakuu kutokana na kushushwa kwa vifurushi vya usiku imekua ngumu mno kudownload mizigo mikubwa so naomba msaada kama kuna mtu ambaye alisha download Game za NBA 2K15 au 2K16 na Assassin...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nisaidieni simu yangu inakuwa kama inaji-touch na hivyo muda mwingi inakuwa ina-vibrate kama imeguswa kioo chake. Inaji-touch upande wa kioo kwenye kona ya kushoto chini. Wakati mwingine inatulia...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Picha imepigwa kutoka chombo kinacho uzunguka mwezi upande liliko jua mwaka 1968 wana anga wa Apollo8 walipiga picha hii bada ya kutua mwezini na hapa chini ni picha ya hivi karibuni...
1 Reactions
68 Replies
14K Views
simu yangu nimeseti mtu akinipigia au akinitumia sms iwe ina vibrate,lakin toka jana naona call au sms zinakuja kimya kimya wakati pale juu alama ya vibration bado ipo natumia tecno H6
0 Reactions
3 Replies
3K Views
samahanini jaman simu yangu tecno p3 inasema error retreaving information from server rpc s-7 na macode mengne nikitaka kudownlod toka kwnye playstore nifanyaje ili ipone?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kindly be informed we have launched (UNIVOUCHERS) for university segment is categorized into three segments. 1. Daily voucher 2. Weekly voucher 3. Night voucher Note;- The...
0 Reactions
28 Replies
14K Views
Kama kichwa cha Habari kinavyosema, naomba kufahamishwa ninunue Simu IPI yenye port ya HDMI ambayo nawe za kuiunga kwenye Tv Na kula Mpira live. Pia naomba bei yake kwa sasa dukani Natumai...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
habari wadau, nilinunua smartfone ila inatumia line ya voda tu, sasa naomba kama kuna mtu anajua, je unaweza uka flash ukatumia line zote? na uki flash hakuna side effects kwenye simu? shukrani..
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habai zenu wakuu.. naombeni ushauri napata simu gani nzuri nikiwa na Milioni moja. sifa: UTUNZAJI WA CHAJI CAMERA NZUUUUUUURI SANA BRAND NEW(SIO USED)
0 Reactions
72 Replies
13K Views
WINDOWS 10 IMESHAWEKWA KWENYE KOMPYUTA MILIONI 164 KUFIKIA MWISHONI MWA 2015 Kufikia mwishoni mwa mwaka 2015 data kutoka shirika la Net Applications linaonesha hadi sasa ni takribani kompyuta...
0 Reactions
1 Replies
896 Views
Mitawezaje kutoa pattern cm ambayo uki press volume na power button hailet option ya ku restore na matokeo yake inawaka kabisa? au cm ya namna iyo pattern hutoka kwa computer
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Prelude is a staggering 488m long and the best way to grasp what this means is by comparison with something more familiar. Four football pitches placed end-to-end would not quite match this...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom