HTC ONE M7 ina restart yenyewe

Mboya Allie

Member
Mar 13, 2012
93
67
Habarini ndugu zangu, simu yangu tajwa hapo juu imekuwa na tabia ya kuji restart yenyewe na Mara nyingne inazimika..na ikijizima huwa haiwaki moja kwa moja, sasa sijajua itakuwa na tatizo gani, naomba msaada mwenye kufahamu Kuhusu hizi simu.
 
Back
Top Bottom