Ta Kamugisha
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,536
- 2,187
Kama kichwa cha Habari kinavyosema, naomba kufahamishwa ninunue Simu IPI yenye port ya HDMI ambayo nawe za kuiunga kwenye Tv Na kula Mpira live.
Pia naomba bei yake kwa sasa dukani
Natumai nimeeleweka
Pia naomba bei yake kwa sasa dukani
Natumai nimeeleweka