Hivi tecno camon c8 ina antitheft setting

Gmark

Senior Member
Nov 6, 2015
138
30
Najaribu kuiweka kwenye antitheft setting, sioni pahala popote, yoyote anayejua tafathali
 
android so far hakuna njia ya kuzuia mtu asiibe simu au kumkamata akiiba. zipo app kibao za ant theft download store ila jua ikiibiwa ikiflashiwa hakuna njia ya kuipata
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom