MSAADA CHIEF MKWAWA:

MSAADA CHIEF MKWAWA:

cleokippo

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2014
Posts
2,143
Reaction score
1,841
Mitawezaje kutoa pattern cm ambayo uki press volume na power button hailet option ya ku restore na matokeo yake inawaka kabisa? au cm ya namna iyo pattern hutoka kwa computer
 
ningekupa msaada kama uzi ungekuwa unahusu wanajanvi wote ila kwa vile uzi unamuhusu chief ingekuwa poa kama ungemtumia PM maana ni mahusu kwa ajiri yake pekee
 
ningekupa msaada kama uzi ungekuwa unahusu wanajanvi wote ila kwa vile uzi unamuhusu chief ingekuwa poa kama ungemtumia PM maana ni mahusu kwa ajiri yake pekee
Mh!!....🙂🙂
 
naweza kukusaidia sabb cm yangu ishatokea hvyo na ikawa kama yako ila kuna njia nilitumia ngoja nimute sabb cjaulizwa
 
Back
Top Bottom