Msaada:je naweza kupata ads za blog ya kiswahili

mkude-filbert

Member
Jul 20, 2014
55
41
Wakuu naomba msaada kwa anaejua km kuna huduma ya ads ambazo zinasupport blog yenye content za kiswahili naomba
Aniambie au tuwasilieane PM
 
Wakuu naomba msaada kwa anaejua km kuna huduma ya ads ambazo zinasupport blog yenye content za kiswahili naomba
Aniambie au tuwasilieane PM
Inawezekana mkuu ila wakati wa kuomba unatakiwa kutumia Blog yenye taarifa kwa Lugha ya Kingereza halaf matangazo unaweza yaweka kwenye blog ya Kiswahilli.
 
Back
Top Bottom