Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

wandugu salamu, naomba msaada wenu maana hapa natamani kulia maana kila nikiingia kwenye page nazozitaka hata jamiiforums natolewa na kupelekwa page nyingine ya matangazo ama alibaba primier au...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Simu yangu imepoteza majina gafla, nilikua nasave majina yote kwenye google account, nimejaribu njia ya ku back up hizi contacts nimeshindwa kabisa.... naomba msaada wakuu....
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndoto husababishwa na wadudu ambao wanaingia ubongo wa wanadamu na wanauwezo wa kuchochea fikra na matendo kwa binadamu. Wadudu hawa ambao wanauwezo wa kuchochea fikra kwa binadamu, wadudu hawa...
0 Reactions
27 Replies
11K Views
Salaam, Wakuu naomba msaada wa mawazo. Mimi naishi Dar na Morogoro, Nina kompyuta zaidi ya hamsini (ambazo ni desktop), zimetumika (used) lakini zipo kwenye hali nzuri kwa maana ya processor...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Guys naombeni msaada wa activation key for Ms office 2016
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kwa anayefahamu hicho kifaa kwa humu TZ nitakipata wapi?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Napenda kujua iwapo inawezekana kuchakakua air tel modem yenye Wifi unaweza kutumia kwenye mitandao mwingine, mwenye uwezo huo naba ushauri
0 Reactions
0 Replies
844 Views
wadau hivi ina wezeekana samsung galax ace 5830i kuweka new version ya 4.2.2 na kama inawezekana naomba mnijuze wadau jinsin ya ku install hyo version Asanteni
0 Reactions
0 Replies
503 Views
Robots to declare war on humans within 25 years, claims intelligence expert By Mirror Updated Thursday, January 7th 2016 at 15:27 GMT +3 Canada: Humans and robots could be locked in a brutal...
0 Reactions
0 Replies
991 Views
computer yangu desktop aina ya compaq sijaitumia miaka mingi lakini nilipoiwasha inawaka na kuniambia "Power-on-Password" nimejaribu kwenda setup imegoma, nimebadilisha hard disk maneno yanakuja...
0 Reactions
2 Replies
812 Views
USB SAFISHA is software which can easily be used to recover deleted or hidden files affected by virus, from your USB memory. USB SAFISHA is fast and efficient which can be used by anyone without...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nina mashine ya canon ir 2016, inaonesha paper jam lakini hakuna paper yeyote iliyo kwama kwenye mashine, naombeni msaada wenu.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
simu tajwa hapo juu ina tatizo la kujirestart yenyewe na imekataa kutofomatika kwa vyovyote vile (kila nikifomati baada ya kureboot inarudi kama ilivyokuwa mwanzo) nimetumia njia iliyopo humu:-...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu! Nataka kujua katika sekta za usafiri, mawasiliano, makazi n.k, ni utaalamu gani ulio juu mpaka sasa? Kwa mfano, kwa teknolojia ya sasa kuna gari linaweza paa angani na...
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Nina pc yangu ya dell hizi ndogo na screen yake imevunjika na imevuja kwa ndani,naomba msaada kwa anayejua jinsi ya kutengeneza na bei yake?nipo dsm mbezi
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wadau habari nina tablet ya samsung haisomi sim card nimeifanyia restore lakini bado haisomi msaada wenu nifanyaje
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu kheri ya mwaka mpya . Naomba nipatiwe msaada, Niko na PC Hp ilikuwa naweza ku connect wireless kwa kutumia simu ama sehemu ypyote yene wifi naweza ku connect kama nina password, ila...
0 Reactions
2 Replies
962 Views
Wanajamvi habari zenyuuu....! Naomba msaada wa pin code niformat simu yangu ya Ideos, maana camera yake haioneshi na nimeambiwa ni virus ambayo suluhisho lake ni kuifomat. Kwa mwenye ujuvi na...
0 Reactions
1 Replies
280 Views
Wakuu naomba msaada kwa wale wenye kujua link ya ku-download firmware ya vodafone 785..
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom