Wapi nitapata betri ya Laptop Mwanza?

Mulangila Mukuru

JF-Expert Member
Feb 24, 2010
1,945
724
Wakuu nina Laptop aina ya Acer betri yake haikai na charge hata kwa lisaa limoja natafuta wapi naweza nunua bwtri mpya kwa Mwanza
Nitashukuru nikipatiwa na bei ...
 
Jaribu kuwaona Barmedas pale mtaa wa Bantu opposite na jengo la Toto Africa
 
Wakuu nina Laptop aina ya Acer betri yake haikai na charge hata kwa lisaa limoja natafuta wapi naweza nunua bwtri mpya kwa Mwanza
Nitashukuru nikipatiwa na bei ...

Pia jaribu pale kwenue maduka miti mirefu kama unapandisha hospitali ya agakhan pia kuna maduka utapata
 
Wakuu nina Laptop aina ya Acer betri yake haikai na charge hata kwa lisaa limoja natafuta wapi naweza nunua bwtri mpya kwa Mwanza
Nitashukuru nikipatiwa na bei ...

Ukikosa tuwasiliane kwa dar. Ushauri wangu battery original inayokaa na charge nusu saa ni bora kuliko ya kununua mpya za tz.
 
Aisee napata mashaka Betri ya Laptop orijino ikae na.chaji nusu sasa??What the hell is that??

Unaposema kuliko za hapa Tz una maana gani??Tz sikuhizi kuna viwanda vya kutengeneza mabetri ya Laptop??

Nachofahamu mabetri ya Laptop na vifaa vinginevyo vipo na vinapatikana kwenye maduka yanayouza Laptop...na accessories nyingine nyingi!!
 
Kama laptop yako ina battery original lkn inechoka. Inakaa na charge kwa nusu saa tuu. Basi bora ubakie nayo hiyo hiyo tuu. Kwasababu battery mpya zinazoletwa tz sio irigina inakaa na charge sanaa lkn hazidumu muda mferu(maisha mafupi)
 
Back
Top Bottom