Msaada wa jinsi ya kuedit ID

SPECIAL TMN

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
1,111
807
Habari wana JF, Jinsi ya kuedit ID yangu i mean kubadili jina au kama kuna Expert wa uzi huu anipe maujuzi au kunibadilishia kabisa ID yangu. Nawasilisha. Invisible msaada tafadhali
 
Last edited:
Alafu ukishabadilisha ndugu THOMAS NDUMILA uanze kutukana humu...
Kiukweli kama mimi ni mtu wa matusi angalia thread zangu na hata nikibadili ntaendelea kuwa yuleyule na nikibadili ntaweka mrejesho hapa hapa.
 
Back
Top Bottom