Msaada wa simu yangu

mbeyaboyfrancy

JF-Expert Member
Mar 12, 2015
248
91
simu yangu nimeseti mtu akinipigia au akinitumia sms iwe ina vibrate,lakin toka jana naona call au sms zinakuja kimya kimya wakati pale juu alama ya vibration bado ipo natumia tecno H6
 
simu yangu nimeseti mtu akinipigia au akinitumia sms iwe ina vibrate,lakin toka jana naona call au sms zinakuja kimya kimya wakati pale juu alama ya vibration bado ipo natumia tecno H6
Hebu ingia ndani sehemu ya vibrate halafu ivibrate uone kama ita-vibrate isipo-vibrate basi vibrator imekufa iwekwe nyingine,ila iki-vibrate basi inahitaji ku-flush au ui-restore.
 
Back
Top Bottom