Naombeni Msaada mwenye game za PC zifuatazo:

Dec 27, 2015
38
27
Sorry wakuu kutokana na kushushwa kwa vifurushi vya usiku imekua ngumu mno kudownload mizigo mikubwa so naomba msaada kama kuna mtu ambaye alisha download Game za NBA 2K15 au 2K16 na Assassin Creed BlackFlag au GTA 5 anisaidie........najua mjini cha bure salamu so ntakulinda kimtindo usikondee!!!
 
Siku hizi majukumu yamenifanya niwe busy nishindwe hata kudownload magame. Game za hapo juu sina ila nina Game zifuatazo nazo ni nzuri pia :-
1. Call of Duty 5
2. GTA San Andreas
3. Project IGI 1.
4. Call of Duty 4 'Hii Game tamu sana'
5. Call of Duty 3 '13GB Huu mzigo uko vema sana, full kupambana na warusi'
6. Need For Speed Most Wanted
7. Fifa 14, hii mpaka niende kwa rafiki yangu nikaichukue ila mimi nishaifutaga.
8. Mpaka niingie ktk PC
.........
 
Upo wap mkuu
 
Asante mkuu nilikua nazitaka kweli hizo series za call of duty naku DM now tujue tunasaidianaje mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom