msaada: nataka ku flash smart phone ya vodafone

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,296
habari wadau, nilinunua smartfone ila inatumia line ya voda tu, sasa naomba kama kuna mtu anajua, je unaweza uka flash ukatumia line zote? na uki flash hakuna side effects kwenye simu? shukrani..
 
Back
Top Bottom