Kufunga app ambazo hazitumiki

Kabelwa

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
664
175
Wadau ninaomba kufahamu jinsi ya kufunga app ambazo sizitumii kwa muda huo bila kuziunstall.
 
Inawezekana download app ya LINK2SD itakuwezesha ku freeze applications ambazo hauzitumii na unfreeze utakapoziitaji
 
Wadau ninaomba kufahamu jinsi ya kufunga app ambazo sizitumii kwa muda huo bila kuziunstall.
Download application inaitwa _"Shup App" Kuzifunga app zote ambo cztumii kWa want huo pia inasaidai kutunza charge maana zinakuwa hazi running.
 
Hii shup app iko play store au nitafute kwenye google
 
Wadau mbona hii shup app siioni play store au jina limekosewa
 
inaitwa shut app na wala siyo shup app ndiyo maana hamuipati nilipenda kusahihisha hapo.
 
zifanyie backup apps ambazo huzitumii mara nyingi then unistal ukitaka ku instal una restore tu.
 
Back
Top Bottom