kim jung shik
Senior Member
- Mar 26, 2014
- 129
- 23
samahanini jaman simu yangu tecno p3 inasema error retreaving information from server rpc s-7 na macode mengne nikitaka kudownlod toka kwnye playstore nifanyaje ili ipone?
Jaribu kupakua AMAZON APPSTOREsamahanini jaman simu yangu tecno p3 inasema error retreaving information from server rpc s-7 na macode mengne nikitaka kudownlod toka kwnye playstore nifanyaje ili ipone?