Simu Inaji-touch Yenyewe

1954tanu

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
1,038
487
Nisaidieni simu yangu inakuwa kama inaji-touch na hivyo muda mwingi inakuwa ina-vibrate kama imeguswa kioo chake. Inaji-touch upande wa kioo kwenye kona ya kushoto chini.

Wakati mwingine inatulia na kuwa kama kawaida. Ikiishaanza kuji-touch inabidi niitoe kwenye display. kisha nikiwasha display inatulia kwa muda kisha inaanza tena.

a) Tatizo ni nini?
b) Suluhisho lake ni nini?
 
mwisho wa simu feki ni mwezi uja yawezs kuwa nayo ni feki.


swissme
 
Tatizo hapo Ni Touch Screen yako.. Kwahiyo cha Kufanya Ni kubadili Screen Touch.. Au Kama Imekaa Vibaya Waiweke Fresh...

Nenda Kwa Fundi.. na Kama Ni Simu ya Samsung Kubwa Iwe na Warrant itakuwa Buree ila Kama Haina Warrant omba Tu maana Bei Yake Ni sawa na Kununua Simu Mpya ndogo
 
Last edited:

Similar Discussions

Back
Top Bottom