Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Nina simu ya samsung note2 N7100; jioni hii imeanza mazinga umbwe, awali ya yote natumia line ya voda. Sasa ghafla inaniambia (selected network vodacom unavailable) na siwezi kupiga simu wala...
0 Reactions
1 Replies
698 Views
Nikitaka kusave jina ,au kutafuta jina nipige ,simu yangu smartphone huawei inaandika hivyo "unfortunately,your contacts has stoped"halafu inastop kweli..wenye uzoefu msaada
0 Reactions
4 Replies
899 Views
Habari yenu ndg wa jukwaa hili. Jamani anombeni sn msaada kwa wenye ufahamu juu ya namna ya kupata history ya kazi zote zilizofanywa ktk photocopy mashine. Yaani kujua idadi ya copy pages and...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari, Madhumuni ya uzi huu ni kukutanisha wana telecom wote kwa habari,uchambuzi na chochote kile kinachohusiana na field hii. Karibuni
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari wanajukwaa , Natumaini mi wazima WA afya njema na mwaendelea na majukumu ya kila siku .Najitokeza kwenu kuuliza je kwa yeyote yule anayeweza nisaidia kujua kua nitapatawapi simu ya...
0 Reactions
4 Replies
958 Views
Habari za asubuhi wakuu. Ninatumia simu aina ya samsung galaxy S3 Neo sasa tatizo ni kwamba tangu wiki ilopita napata ujumbe kwamba simu yangu ina virus. Nifanyeje kukabiliana na hili?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Specifications : Netwok: 2G/3G/4G LTE Display : 5.5" Full high definition Protection: Corning gorilla glass 3 Dual sim Sensor : Proximity,Gyro, Finger print scanner Gps Internal Memory : 32GB...
1 Reactions
116 Replies
18K Views
Naomba kujua nini tatizo kila nikijaribu ku insert picha kwenye post /ku upload kinatokea kibox plain hii ni zaidi ya wiki sasa baada ya jf kufanyiwa marekebisho,
0 Reactions
2 Replies
860 Views
Natumia simu ya Samsung galaxy mega GT - I9152, tatizo lake haijai chaji hata ikijaa inatumia muda mwingi, masaa nane (8) na kuendelea. Naomben ushauri
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari za asubuhi wakuu. Nina simu niliweka Pin kwa ajili ya security , baada ya kuweka nimejaribu kuifungua bila mafanikio , sasa nahisi kuna namba nilikosea manake sijasahau zile PIN ... Nina...
0 Reactions
19 Replies
11K Views
Wakuu, habarini za mchana. Mchina wangu ana tatizo ambapo ha-install program, ha-save chochote wala hawezi kufuta kilichokuwepo kabla ya tatizo. Nilipojaribu kuflash, imetokea error kama...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
1) Wifi tethering 2) Overclock the processor 3) Custom ROMs and Kernels 4) Complete customization 5) Early updates to Android version 6) Remove bloatware 7) Take screen shots (for pre Android...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Wakuu, mtu yeyote mwenye ujuzi wa laptop inayotumia chrome os, namna ya ku install whatsapp?
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kampuni ya Netflix leo imetangaza kusambaza huduma zake katika nchi 130 zaidi, ikiwemo Tanzania. Netflix inatoa huduma ya streaming movies/series/etc na unalipia kwa mwezi. Kwa mitandao yetu ya...
1 Reactions
15 Replies
11K Views
Hivi naweza kutoa password kwenye simu ya tecno ya keypad? Yaan tecno ambayo sio smart phone? Na kama inawezekana naomba mnielekeze.
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Hi wataalam! Nasumbuliwa na tatizo moja la PCs kufanya shortcuts hasa kwenye External Mass Storage km Pen Drive(Flash Disk) na Memory Card na External HDD. Shortcut hzo hufanya extension ya .Ink...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari Wakuu! Nahitaji msaada kwa anayejua jinsi ya kutuma ujumbe wa picha, sauti ama video kwa kutumia njia ya MMS, hii ni kwa simu ya aina yoyote ila ina uwezo wa kutumia MMS. Mwenye kufahamu...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari zenu, Napenda kuuliza kwa mwenye ufahamu kwa nini AdSense huamini clicks zaidi kutoka AMERICA, mfano kuna account moja USA earned dollar ni 72 ,Tanzania 5.2 dollar lakini clicks za TZ...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwenye kuelewa jinsi ya kubadili android version mfano kutoka 4.3 jelly bean kwenda 4.4.2 kitkat anisaidie natanguliza shukrani
0 Reactions
46 Replies
9K Views
1. Punguza brightness kwenye simu 2. Zima WiFi / Bluetooth / Data pale unakuwa huitumii 3. Tumia vibration pale inapohitajika. 4. Tumia Airplane Mode ukiwa sehemu isiyo na network reception 5...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Back
Top Bottom