Moto G

Kilangi masanja

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
4,370
4,847
Habari wanajukwaa ,
Natumaini mi wazima WA afya njema na mwaendelea na majukumu ya kila siku .Najitokeza kwenu kuuliza je kwa yeyote yule anayeweza nisaidia kujua kua nitapatawapi simu ya moto G mpya au hata used iliyokatika hali nzuri
 
ipo moja 1st generation niliiona duka moja swahili na mafia juu ghorofa ya 1 inauzwa 260,000 8gb bila sd card.

pia kuna jamaa anaitwa DUMEGUY alikua anaziuza used 180,000 same version kama hio hapo juu.

nauza MOTO G 1st gen 180000 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
ngoja nifanye utaratibu nione Namba ya kuweza kuipata moja ,ila je waionaje katika utendaji kazi iko poa yaani inakidhi vigezo kuwa na processor kubwa kioo ni imara na quality ya kamera ikoje pia utunzaji WA chaji
 
kabla hujaanza kuangalia hayo umeona lakini ina 8gb (5gb free) bila memory card hio ndio weakness yake. processor yake kwa bei chini ya laki 2 ni kubwa sana na kioo chake ni hd hivyo kina quality na pia ni gorilla glass 3. chaji ni kawaida sana sababu ya kioo na camera pia ni ya kawaida ila kwa hio price point huwenda ikawa ni best camera
 
Back
Top Bottom