Tecno phantom 5 yazinduliwa

Tecno phantom 5 yazinduliwa

Sirm

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2013
Posts
561
Reaction score
370
Specifications :

Netwok: 2G/3G/4G LTE
Display : 5.5" Full high definition
Protection: Corning gorilla glass 3
Dual sim
Sensor : Proximity,Gyro, Finger print scanner
Gps
Internal Memory : 32GB
Ram: 3GB
Battery :3000 mah

Hii ni bonge la simu
 
Hahahaaa chief jibu la swali lako hili hapa
Processor: 1.5GHz Octa-core cortex – A53 CPU, MediaTek MT6753 chipset with Mali-T720 GPU
 
Hahahaaa chief jibu la swali lako hili hapa
Processor: 1.5GHz Octa-core cortex – A53 CPU, MediaTek MT6753 chipset with Mali-T720 GPU

cortex a53 ni processor ya hali ya chini, ipo hadi kwenye simu za bei rahisi kama moto e, na hio mali t720 ni sawa tu na adreno 306, ni gpu za hali ya chini.

unapoeka gpu kama hio na kioo chenye resolution kubwa then kinachofuatia ni majanga
 
Ila chief hii band zake za 4g za 800/850/2100/2600 bila shaka zinaendana na mitandao yetu,
Kuliko ile ya C5 uliosema haitokubaliana na mitandao yetu ya simu
 
Lakini hata Samsung galaxy note4 ina Cortex za a53 na a57 na ipo poa
 
Tecno wataendelea kuchemka tu kila toleo na zitabakia kuwa simu za hali ya chini mno
 
idea ya metal case na fingerprint scanner nimeipenda ila sijui kwanini tecno kwenye processor habadiliki
 
Lakini hata Samsung galaxy note4 ina Cortex za a53 na a57 na ipo poa

Note 4 nyingi zina snapdragon 805 ambayo ni superior kila njia sababu inatumia core za krait 400.

Simu yenye cortex a53 ni s6, lakini hazitumiki kurun app kubwa zinatumia mfumo maarufu kama big little.

Kunakuwa na processor nne zenye nguvu (cortex a57) na processor nne zisizo na nguvu (cortex a53). Unaporun app kubwa kama games processor za cortex a57 zitafanya kazi na unapokuwa unafanya mambo ya kawaida kama kutuma sms then cortex a53 inatumika ili kusave battery.

Hio tecno ina cortex a53 tu hivyo kwenye games kubwa, na resolution hio ya full hd na gpu hio ya mali 720p tegemea simu kuwa slow.

Pia samsung ana advantage ya manufacturing, yeye anamanufacture kwa 14nm compare na mediatek anaemanufacture kwa 22nm au 28nm hivyo cortex za samsung zote ni powerfull kuliko mediatek na hazili charge ya simu sana.
 
Ila chief hii band zake za 4g za 800/850/2100/2600 bila shaka zinaendana na mitandao yetu,
Kuliko ile ya C5 uliosema haitokubaliana na mitandao yetu ya simu

Yah hio 800 ni band ya tigo, itakubali 4g ya tigo
 
idea ya metal case na fingerprint scanner nimeipenda ila sijui kwanini tecno kwenye processor habadiliki

Sijui km itapokea update za marshmallow hii simu ila wamejitahidi maana wametoka mbali ila infinix anamuweka roho juu ndo mana kila muda simu mpya na ana improve kidogo
 
Hii simu Kesho itazinduliwa rasmi.

Specifications :

Netwok: 2G/3G/4G LTE
Display : 5.5" Full high definition
Protection: Corning gorilla glass 3
Dual sim
Sensor : Proximity,Gyro, Finger print scanner
Gps
Internal Memory : 32GB
Ram: 3GB
Battery :3000 mah

Hii ni bonge la simu

mediatek hakuna kitu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom