Msaada: Simu yangu haijai chaji

Msaada: Simu yangu haijai chaji

haji kudra

New Member
Joined
Oct 26, 2011
Posts
4
Reaction score
0
Natumia simu ya Samsung galaxy mega GT - I9152, tatizo lake haijai chaji hata ikijaa inatumia muda mwingi, masaa nane (8) na kuendelea. Naomben ushauri
 
Natumia sim ya Samsung galaxy mega GT - I9152 tatizo lake haijai chaji hata ikijaa inatumia mdaa mwing masaa nane 8: nakuendelea naomben ushauli
Samsung ni simu nzuri ila tatizo lake ni charging system, na ni kwa simu nyingi tu za smartphone. waweza badili battery uone kama tatizo litaendelea lakini ni kawaida. pia jaribu kuwa unazima data na uwashe tu pale unapohitaji kutumia. pole kwa usumbufu.
Mwenzio nina simu ya torchi charge wiki nzima!
 
Natumia simu ya Samsung galaxy mega GT - I9152, tatizo lake haijai chaji hata ikijaa inatumia muda mwingi, masaa nane (8) na kuendelea. Naomben ushauri
tumia chrge halisi yenye AMPS sawa na simu yako tatizo hilo litakwisha
 
Back
Top Bottom