Msaada: Namna ya kuflush simu bila kufuta vitu vilivyomo

Transcend

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
20,548
63,035
Habari za asubuhi wakuu.

Nina simu niliweka Pin kwa ajili ya security , baada ya kuweka nimejaribu kuifungua bila mafanikio , sasa nahisi kuna namba nilikosea manake sijasahau zile PIN ...

Nina picha, SMS, contacts, na data za muhimu nimezisave kwenye internal memory ya simu hivyo sitaki nivipoteze...

Naombeni msaada kama naweza kuifungua bila kuiflush au kama inafaa kuiflusha na kurestore kila kitu....
 
Mkuu unaulizia kitu impossible, huwezi flash bila kufuta hivyo vitu cha msingi next time hakikisha contacts unaziback up Google na picha unaziback up online kupitia Dropbox au Google photos
 
Asante mkuu...ila hakuna namna ya kurestore hivyo hata kama nikiflush?
 
una simu gani na ina recovery gani? sababu hard reset inaweza fanyika ikafuta apps tu na kureset setting bila kugusa personal files kama sauti, picha video nk. siku zote kwa samsung niki hard reset huwa sifuti personal files na recovery inakuwa ni cwm.
 
simu ni aina gani kama ni android lazima ufanye backup ndio ureset ila kama ni hizi za kawaida vitu vitapotea tu vinginevyo uwe umeweka kwenye external storage.
 
Wakuu ni sumsung galaxy Grand 2

Model - SM- G7102
 
Ukikosea mara kadhaa nadahni unaweza kuunlock kwa kutumia gmail account yako, kama data ipo on.
 
Mkuu unaulizia kitu impossible, huwezi flash bila kufuta hivyo vitu cha msingi next time hakikisha contacts unaziback up Google na picha unaziback up online kupitia Dropbox au Google photos
Inawezekana akatoa pin bila kuathiri data zake
 
Habari za asubuhi wakuu.

Nina simu niliweka Pin kwa ajili ya security , baada ya kuweka nimejaribu kuifungua bila mafanikio , sasa nahisi kuna namba nilikosea manake sijasahau zile PIN ...

Nina picha, SMS, contacts, na data za muhimu nimezisave kwenye internal memory ya simu hivyo sitaki nivipoteze...

Naombeni msaada kama naweza kuifungua bila kuiflush au kama inafaa kuiflusha na kurestore kila kitu....
Kama ni samsung hata ukifanya hard reset ni apps tu ndo zitafutika ila person files zitabak mkuu
 
mkuu nimeskia ukiongelea drop box, hv nn kazi ya drop box

Drop box ni kama akauti unaifungua na kuhifadhi kumbukumbu/ nyaraka zozote kama video, audio, pictures, documents ( PDFs, word , excel) n.k

Unaweza ku-access akauti yako popote ! Ni muhimu kwa kuhifadhi vitu muhimu kwa ajili ya backup. ..
 
Habari za asubuhi wakuu.

Nina simu niliweka Pin kwa ajili ya security , baada ya kuweka nimejaribu kuifungua bila mafanikio , sasa nahisi kuna namba nilikosea manake sijasahau zile PIN ...

Nina picha, SMS, contacts, na data za muhimu nimezisave kwenye internal memory ya simu hivyo sitaki nivipoteze...

Naombeni msaada kama naweza kuifungua bila kuiflush au kama inafaa kuiflusha na kurestore kila kitu....
Unaweza kufuta file la pin bila kugusa kitu kingine chochote , kama bado hujapata ufumbuzi , let me know nikuelekeze
 
una simu gani na ina recovery gani? sababu hard reset inaweza fanyika ikafuta apps tu na kureset setting bila kugusa personal files kama sauti, picha video nk. siku zote kwa samsung niki hard reset huwa sifuti personal files na recovery inakuwa ni cwm.
hapo kuhusu sms na contacts zilizo ktk simu zinafutwa ila storage internal ni apps ndio zinafutwa.
 
Nieleze mkuu!...na wengine wapate kujua

Okay ni procedure ndefu kidogo , na inahitaji umakin , usije kufuta mafile ya system ..

Of-course hii njia ni rahis kama sim yako iko rooted , but hata kwa sim ambazo bado hazijawa rooted inaweza kutumika pia .

Kwa kifupi ni kwamba system ya android unapo weka pin , either ni pattern / password pin , android OS inatengeneza file la hiyo pin kwenye system directory ( data/system ).

But sabab we can access system directory ya Android via recovery mode , then tunachotakiwa ni kuwa na recovery app yenye uwezo wa kubrowse system directory kama file manager , in this case AROMA FILE MANAGER is your choice here .

Procedures :

  1. Jambo la kwanza ni kuhakikisha kuwa una custom recovery kwenye sim yako kama CWM , TeamWin Recovery Project ( TWRP ) nk . Procedure ya kuweka custom recovery inavary kwenye kwa sim nyingi , but SIO lazima simu iwe rooted au iwe inawaka mpaka mwisho ili kuweza ku install recovery , kwa samsung devices nyingi , unaweza kuistall CWM hata sim ikiwa ina bootloop , But kuna baadhi ya samsung zinakuja na bootloader yake iko locked , you must unlock hiyo bootloader kabla hujafanya installation ya recovery .
    Kama unatumia samsung here is the list of auto root files for a variety of samsung devices, comes with a modified recovery ( CWM ) and SuperSu that you can flash via odin
  2. Download Aroma File Manager , then iweke kwenye memory card yako , kama sim haina external storage , itabid utumie ADB na computer ku push ilo file la aroma kwenye storage ya simu , mfano reboot sim kwenye recovery ( in this case CWM ) then plug sim kwenye computer , type the below command
    Code:
    adb push aroma.zip /sdcard
  3. Ukishamaliza kuweka ilo file , reboot sim kwenye recovery ( CWM ) , chagua “update” then chagua “apply update from SD/external” , tafuta file la aroma.zip file ambalo umeliweka kwenye memory then launch it .
  4. Kwenye interface ya Aroma , click menu then settings , then chagua “mount all partition in startup” then exit app ya Aroma , ukisharud kwenye recovery rudia tena step ya nne , kufungua Aroma , baada ya hapo navigate kwenye hii path
    Code:
    Data / System
    Tafuta file limeandikwa 'gesture.key’ (kwa pattern lock) au ’password.key’ (kwa password lock) , long touch hilo file , then chagua delete . Ukishafanikiwa kulifuta , reboot simu . utakuwa umefuta iyo password . Incase kama sim ikiwaka ikakuletea uweke password , just type any random passowrd.
 
Last edited:
Back
Top Bottom