Katitima
JF-Expert Member
- Jun 28, 2013
- 627
- 118
Website kuwa na ads kibao haimaanishi si salama, kama umewah kutana na discovery ads utaweza gundua hili, software inajiinstall yenyewe then inaanza kudisplay ads kwenye site zote unazo visit, na hii inawatokea sana wanaopenda kuvisit website za porno.hakuna chochote hapo,cha kufanya ni kuclose page hilo pia fungua website salama.
Hayo ni matangazo tu na site kama google haziwezi kufanyia hivyo eti wakupe recommendation ya crap app like virus killer, damn impossible.Habari za asubuhi wakuu.
Ninatumia simu aina ya samsung galaxy S3 Neo sasa tatizo ni kwamba tangu wiki ilopita napata ujumbe kwamba simu yangu ina virus.
Nifanyeje kukabiliana na hili?
Habari za asubuhi wakuu.
Ninatumia simu aina ya samsung galaxy S3 Neo sasa tatizo ni kwamba tangu wiki ilopita napata ujumbe kwamba simu yangu ina virus.
Nifanyeje kukabiliana na hili?