Netflix sasa inapatikana Tanzania

Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,630
2,459
Kampuni ya Netflix leo imetangaza kusambaza huduma zake katika nchi 130 zaidi, ikiwemo Tanzania.

Netflix inatoa huduma ya streaming movies/series/etc na unalipia kwa mwezi.

Kwa mitandao yetu ya sasa bado itakuwa ngumu kwa watanzania kuitumia hii huduma kwa kuwa inahitaji mtandao wa uhakika na inakula MB nyingi sana.
 
ImageUploadedByJamiiForums1452112746.054146.jpg
 
Nimeangalia movie mbili ya kwanza data ilipungua 700+MB na ya pili 800+MB nikaangalia tena series episode mbili nikawa nimetumia kama 500MB
 
Kampuni ya Netflix leo imetangaza kusambaza huduma zake katika nchi 130 zaidi, ikiwemo Tanzania.

Netflix inatoa huduma ya streaming movies/series/etc na unalipia kwa mwezi.

Kwa mitandao yetu ya sasa bado itakuwa ngumu kwa watanzania kuitumia hii huduma kwa kuwa inahitaji mtandao wa uhakika na inakula MB nyingi sana.
Hivi huwezi ku download kupitia netflix
 
Hii netiflix itasubiri sana maana bando kibongo bongo ni expensive bora tuendelee kuiba torrents kwanza buffering itakuwa inahusika sana hapo
 
Unategemea na ulipo na mtandao, nilipo mimi sijapata buffering hata kidogo. Kwenye bundle ndo tatizo labda mitandao watoe unlimited netflix bundle
 
Ngoja na me ntaijaribu hivi sd kwa mwezi sh ngapi?
 
Haya mambo tuwaachie kina shanique, kina Nicole, kina Barbie kina mwajuma, hamisa, asha wanaenda kuazima cd za kina Tino, Odama kwa hamisi masidii then wanakuja kuangalia kwenye dvd halafu tv ya chogo

dunia moja, maisha tofauti
 
Back
Top Bottom