Msaada: Simu ya mchina anasumbua

Bahati furaha

JF-Expert Member
Jul 11, 2012
3,053
1,409
Wakuu, habarini za mchana.

Mchina wangu ana tatizo ambapo ha-install program, ha-save chochote wala hawezi kufuta kilichokuwepo kabla ya tatizo. Nilipojaribu kuflash, imetokea error kama inavyoonekana.

MTK6572.png


Nilipojaribu ku-run memory test ilitokea hii.
Sehemu nyingine zote inaonesha OK isipokuwa hapo kwenye RED.
Untitled.png

Naombe msaada wa kumaliza tatizo.
Tecno M3.
OS Android 4.2.2
Asanteni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom