wabongo wanaclick tuu hawanunui ila wa us wengi waki click hufanya manunuzi..... yani bongo ni wababaishaji tuu.Habari zenu,
Napenda kuuliza kwa mwenye ufahamu kwa nini AdSense huamini clicks zaidi kutoka AMERICA, mfano kuna account moja USA earned dollar ni 72 ,Tanzania 5.2 dollar lakini clicks za TZ zimefutwa, why?Mwenye ufahamu tafadhali
thanks mkuu,vipi kuhusu clicks from unknown language?wabongo wanaclick tuu hawanunui ila wa us wengi waki click hufanya manunuzi..... yani bongo ni wababaishaji tuu.