Jinsi ya kubana matumizi ya betri kwenye simu

deejaywillzz

JF-Expert Member
Mar 11, 2014
637
224
1. Punguza brightness kwenye simu

2. Zima WiFi / Bluetooth / Data pale unakuwa huitumii

3. Tumia vibration pale inapohitajika.

4. Tumia Airplane Mode ukiwa sehemu isiyo na network reception

5. Funga applications ambazo huzitumii.
 
Naomba kufahamu jinsi ya kufunga app ambazo sizitumii
Spark Gap ameeleza vizuri. Ukishaingia kwenye Applications na uka select Running Services, kwa kuongezea tu nakupa diagram hapo chini

728px-Close-Apps-on-Android-Step-4-Version-4.jpg
 
Back
Top Bottom