Masterproud
JF-Expert Member
- Sep 14, 2012
- 441
- 116
Habari yenu ndg wa jukwaa hili. Jamani anombeni sn msaada kwa wenye ufahamu juu ya namna ya kupata history ya kazi zote zilizofanywa ktk photocopy mashine. Yaani kujua idadi ya copy pages and printings kwa siku. Natumia canon Ir 2202. Pia ninamshine nyingine aina ya Hp deskjet na Hp 127. Msaada jamni nataka kudhibiti kamladi kangu nahisi naibiwa. Asanteni sana