wakuu mtu yeyote mwenye ujuzi wa laptop inayotumia chrome os, namna ya ku install whatsapp?
sidhani kama unaweza kuistall whatsapp kwenye chrome, ila unaweza kutumia tu..
open your chrome
Type this website - WhatsApp Web , ukifungua hii link, itadisplay barcode
Then nenda kwenye simu yako, kuna whatsapp web link ipo kwenye setting menu, fungua hiyo link and then scan ile barcode iliyo-display kwenye laptop..
ikimaliza scanning you are in and done..
asante mkuusidhani kama unaweza kuistall whatsapp kwenye chrome, ila unaweza kutumia tu..
open your chrome
Type this website - WhatsApp Web , ukifungua hii link, itadisplay barcode
Then nenda kwenye simu yako, kuna whatsapp web link ipo kwenye setting menu, fungua hiyo link and then scan ile barcode iliyo-display kwenye laptop..
ikimaliza scanning you are in and done..
asante mkuuunaweza kuweka whatsapp.
ingia store then search app inaitwa arc welder then install pamoja na vitu vyake vyote (mb zaidi ya 100)
-kazi ya hii arc welder ni kuconvert app za android kuwa extension za chrome
then download whatsapp apk toka hapa
whatsapp.com/android
fungua arc welder then load whatsapp yako then convert utapata chrome extension.
halafu load hio chrome extension utaona whatsapp inafunguka.
ila ni lazima uwe kwenye developer mode kufanya hivyo vitu, kwa pc ukienda kwenye hizo extension unaiona kwa juu sehemu ya ku activate developer mode ila kwa chrome yako am not sure kama step zinafanana unaweza google jinsi ya ku enable developer mode.