Hi wataalam!
Nasumbuliwa na tatizo moja la PCs kufanya shortcuts hasa kwenye External Mass Storage km Pen Drive(Flash Disk) na Memory Card na External HDD.
Shortcut hzo hufanya extension ya .Ink na haiwezi kufunguka au ikifunguka inakuwa imeficha mafaili na mafolda baadhi au yote.
Najua command ya kuzirejesha ya attrib -h -s -r -a /s /d Drive letter:\*.* lakn haiondoi kirusi hiki kabisa.
Naomba msaada make hata kaspersky imeshindwa naona