aggrey kimambo
Senior Member
- Aug 10, 2015
- 129
- 142
Nina simu ya samsung note2 N7100; jioni hii imeanza mazinga umbwe, awali ya yote natumia line ya voda. Sasa ghafla inaniambia (selected network vodacom unavailable) na siwezi kupiga simu wala kutuma sms. Lkn cha ajabu naweza ku(access) internet vizuri. Suluhisho ni nini hapo??
Last edited: