Wadau habari zenu, mimi nina shida moja napenda kuangalia mpira, shida ni kujua kingamuzi gani cha bei nafuu nijiunge ili niweze kupata Chanel nzuri za mpira na movie tofauti na dstv au cable gan...
Jamani mimi ni blogger, na nimejisajili adsense. Cha ajabu wameshanikubalia lakini tatizo sipati matangazo, na ninatumia template nzuri, yaani v2.
Hapo mwanzo niliwahi kuwa na adsense account...
Hey guys kwa wale wanaopenda fifa14. Gameplay,new teams, classic and all star teams,new boots , even u can make ur own patch... ingia ModdingWay - PES 2014, FIFA 14, NBA 2K14, FIFA 13, PES 2013...
Habari wataalamu..
Nina swala moja muhimu chini ya meza... Kuna simu inaitwa iPhone ukitaka ku 'update' software unaweza ukatumia wi-fi kupitia simu au ukatumia iTunes.
Swali langu ni ile simu...
Hawa jamaa wa cloudstv wamezindua channel Yao kwenye dstv wanasema itapatikana Africa yote hii imekaaje wadau naona kama kuna kamchezo hapo maana channel zote za e.africa huwa azionekani s.a...
na2mia Nokia 1320 window phone.... Nna shda ya kuupdate hii vision ya window nashindwa wanapo npa option moja 2 ya ku2mia WI-FI na sio MOBILE DATA.nashindwa hapo msaada tafadhali kw mweny kufaham...
I just wanted to see what sat I would get when l added this lnb to the western side of Astra 28.?°E and got Record Mozambique only and a score of empty TP's. Could this be 7° E?
Habari wanajukwaa,
Kwa mda mrefu nimekuwa nikishuhudia Vodacom.Tanzania wakituuzia simu aina ya Vodafone za matoleo mbalimbali tena kwa bei ya karibu na bure kabisa kulingana na quality za...
katika mwaka uliopita iphone walikuwa wanatumia mfumo wa kawaida wa kuweka earphone lakini tetezi zinazosikika saizi ni kuwa wanataka kutoka iphone 7 mwishoni mwa mwaka ikiwa haina sehemu ya...
Habari wana jf!
Kwa mtu mwenye uzoefu wa power bank za kuchajia simu naomba kusaidiwa! ni mAh ngapi ndio nzuri na inauwezo mkubwa wa kuchaji simu hata mara 4 ikiwa simu haina chaji kabisaa...
Amani iwe juu yenu wana jf.
Hivi karibuni nmejiunga na mtandao wa Halotel. Lakini bado sijajua bandle unajiunga vipi. Haswa unlimited za Internet. Kwa anaejua tafadhal naomba anijuilishe.
Thanks...
Wadau,
nina tatizo, jana ''nili-restore to factory settings'' iPhone 6 plus, nilimaliza wakati nafanya set up ikahitaji password ya account ya iCloud, kwa kweli mwenye simu hakumbuki password...
Wakuu natumia tecno phantom A3 (M9) na kama zilivo zingine ina laini 2. Tatizo ni kuwa laini 2 ambayo ni.ndogo haisomi data. Niliweka airtel nikawa natumia kwenye net kwenye hiyo laini 2 ila baada...
Simu yangu huawei,karibu kila wiki inaji_restart ikiwaka inataka nifanye factory reset,reboot au backup,kitu kinachonogharimu kudown load upp zote upya,hali hii inatokea hata kama nikiondoa...
Kompyuta yangu Dell D620.
Nilii Factory reset .Ilipofika 20% ikiisntall windows updates Chaji ikakata na kuzimika.Nilipoiwasha inaonyesha IKO 64% .inawaka na kujizima kwa kuendelea.
Sasa...