KWANINI ADSENSE WANAKUBALI MAOMBI LAKINI MATANGAZO HAWALETI?

Benson Mmari

New Member
Oct 22, 2014
3
2
Jamani mimi ni blogger, na nimejisajili adsense. Cha ajabu wameshanikubalia lakini tatizo sipati matangazo, na ninatumia template nzuri, yaani v2.

Hapo mwanzo niliwahi kuwa na adsense account lakini nikabonyeza tangazo bahati mbaya, ikafungiwa.
Pliz nishaurini nifanye nini ili nipate matangazo tena...?

Blog yangu ni www.princebewisa.blogspot.com
 
Emdelea kusalii maombi yatajibiwaa..ujaweka maombiyako kwenye mstarii ngoja ntakuletea mistari ya maombi ya kuoigana wanaachia wenyewe
 
Jamani mimi ni blogger, na nimejisajili adsense. Cha ajabu wameshanikubalia lakini tatizo sipati matangazo, na ninatumia template nzuri, yaani v2.

Hapo mwanzo niliwahi kuwa na adsense account lakini nikabonyeza tangazo bahati mbaya, ikafungiwa.
Pliz nishaurini nifanye nini ili nipate matangazo tena...?

Blog yangu ni www.princebewisa.blogspot.com
blog yako ipo banned,fungu mpya paste adsense codes then angalia kama zitadisplay
 
Imepita muda gani toka uombe?
Sometimes unakuta hawaja~analyze blog yako kabisa au blog yako hua naina traffic so wanakuchukulia kama completely new which takes time to process, cha muhimu sikilizia kama siku tatu kwanza. Ila kama hutopokea traffic kabisa they might never give you ads.
 
Back
Top Bottom